FAQs Contact Staff Mail Feedback Swahili • English
Home

Board Members

Board Members

The Board provides strategic leadership, oversight, and governance to support accreditation, professionalism, and public trust in journalism.

Chairperson

Chairperson photo

Chairperson Name

Chairperson

Provides strategic leadership and governance oversight to strengthen accreditation systems, ethical journalism, and public trust.

Board Members

Profiles of selected Board Members supporting governance, ethical journalism, and accreditation systems.

Mgaya Bakari Kingoba

Mgaya Bakari Kingoba

Board Member TSN (Habari za Kiswahili) Acting Manager – Kiswahili News Services

Mbali ya kuwa Mjumbe wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari (JAB), Mgaya Bakari Kingoba ni mwanataaluma ya habari mwenye uzoefu wa miaka 30. Kwa sasa ni Kaimu Meneja Huduma za Habari za Kiswahili katika Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN).

Uzoefu Miaka 30 katika uandishi na uhariri wa habari
Maeneo ya utaalamu Michezo, siasa, nishati, afya (hard news + sports)
Uongozi TASWA (2004–2010), TFF Media & Marketing Committee (2017–sasa)
Read full profile

Kabla ya wadhifa wa sasa, amehudumu kama Mhariri wa Gazeti la HabariLEO, na pia amewahi kuwa Mhariri wa Michezo, Mhariri wa Habari za Wikiendi na Mhariri wa Habari kwa miaka saba mfululizo.

Kabla ya kujiunga na TSN Novemba 2006, Kingoba alifanya kazi kwa miaka 10 katika iliyokuwa Kampuni ya Habari Corporation ambako alishikilia nyadhifa kadhaa ikiwamo kuwa Mhariri wa Michezo wa magazeti ya RAI na Mtanzania, Mhariri wa Habari wa Mtanzania, na Mhariri mwanzilishi wa gazeti la kwanza la michezo la kila siku nchini, Bingwa mwaka 1999.

Amewahi kuongoza vyama vya kitaaluma ikiwamo Makamu Mwenyekiti wa TASWA (2004–2007) na baadaye tena (2007–2010). Pia alikuwa Jaji wa Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania (BMT) mwaka 2023.

Ni mwanachama wa TEF, JET, TASWA na DPC. Amefuatilia na kuripoti mikutano mbalimbali ndani na nje ya nchi ikiwamo Bunge la Tanzania (2004–2019), kampeni za Uchaguzi Mkuu (2005, 2010, 2025), AU (2008, 2012, 2013), SADC (2012), FOCAC (2012), na AIPS (2008, 2010).

Kitaaluma: Master in Mass Communication (SAUT), BA in Mass Communication (TUDARco), Diploma (SAUT) na Certificate (TSJ) katika uandishi wa habari.

Dr. Rose Reuben

Dr. Rose Reuben

Board Member TAMWA Mainland Executive Director

Dr. Rose Reuben is a Tanzanian media leader and digital journalism scholar with over two decades of experience promoting ethical journalism, media accountability, and professional standards. As Executive Director of TAMWA Mainland, she has led nationwide initiatives strengthening journalists’ capacity in ethical reporting, gender-sensitive storytelling, digital safety, and responsible use of emerging technologies.

Uzoefu Miaka 20+ katika uongozi wa vyombo vya habari & mawasiliano
Utafiti AI in Tanzanian newsrooms; newsroom governance & media ethics
Mchango JAB Uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji na viwango vya taaluma
Read full profile

Holding a Master’s degree in Digital Journalism, Dr. Reuben has conducted research on Artificial Intelligence in Tanzanian newsrooms, contributing to policy discussions on innovation, newsroom governance, and media ethics in the digital era.

She collaborates with government institutions, regulatory bodies, civil society organisations, and regional networks to enhance journalists’ competencies in ethical reporting, gender-sensitive journalism, digital safety, and responsible use of technology.

Dr. Egbert Emmanuel Mkoko

Dr. Egbert Emmanuel Mkoko

Board Member University of Dar es Salaam (SJMC) Lecturer & Research Coordinator

Dr. Egbert Emmanuel Mkoko ana uzoefu wa zaidi ya miaka 25 katika tasnia ya uandishi wa habari za utangazaji. Kwa sasa ni Mhadhiri na Mratibu wa Utafiti na Ubadilishanaji wa Maarifa katika Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma (SJMC), UDSM.

Utaalamu Broadcast journalism, production, ethics, reception theory
PhD (2021) Nelson Mandela University – Media Studies
Mchango ARIDHIO model – improved TBC public service news production
Read full profile

Dr. Mkoko alianza safari kama mwandishi wa habari katika Radio Free Africa na Star TV. Baada ya BA Journalism (UDSM), alijiunga UDSM kama Tutorial Assistant. Aliendelea na MA (Rhodes University) na PhD (Nelson Mandela University) mwaka 2021.

Utafiti wake wa PhD uliosaidia TBC kuanzisha utaratibu mpya wa uzalishaji na uwasilishaji habari wa ARIDHIO. Pia anatoa ushauri wa kitaalamu: mikakati ya mawasiliano, mifumo ya utafiti, kupitia mitaala, mafunzo na Training of Trainers (ToT).

Governance Note: Board composition and tenure follow the applicable legal and policy framework governing the Journalists Accreditation Board.