Naibu Waziri Hamis Mwinjuma Aitembelea JAB, Asisitiza Utekelezaji Madhubuti wa Sheria ya Huduma za Habari
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, ametembelea Ofisi za Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) jijini Dar es Salaam na kusisitiza umuhimu wa kusimamia kikamilifu utekelezaji wa Sheria ya Huduma za Habari ili kulinda hadhi ya taaluma ya uandishi wa habari nchini.
Read Full Story →