Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bi. Salome Kessy ametembelea ofisi mpya za Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) zilizopo Mtaa wa Jamhuri jijini Dar es Salaam tarehe 03 Desemba, 2024.
03rd Dec 2024
Director of Administration and Human Resource Management of the Ministry of Information, Communication and Information Technology, Mrs. Salome Kessy has visited the new offices of the Journalists Accreditation Board (JAB) located on Jamhuri Street in Dar es Salaam on December 3, 2024.